Msanii Abdu Kiba ameendelea kuzungumza kuhusu kuweka sawa juu ya kauli yake aliyoizungumza kisha ikaleta utata kuhusu yeye kufanya kazi na label ya WCB Wasafi.
Ameendelea kusimama katika point yake na amezidi kukanusha kuhusu inavyosemekana kuwa watu waligeuza kauli yake na kudai kwamba yeye alizungumza kuwa anaweza kujiunga na WCB label ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz amnbaye yupo kwenye upinzani mkubwa na kaka yake Alikiba.
Title :
ABDU KIBA KWENYE HEADLINES TENA KUHUSU WCB
Description : Msanii Abdu Kiba ameendelea kuzungumza kuhusu kuweka sawa juu ya kauli yake aliyoizungumza kisha ikaleta utata kuhusu yeye kufanya kazi na...
Rating :
5