Diamond Platnumz msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyekuwa akiwakilisha ukanda huu katika tuzo kubwa duniani za BET amezungumza anavyo jiskia baada ya kukosa tuzo hiyo.
Ameonyesha hali ya kutokata tamaa kwa kutoa kauli ya imani ya dini yake kumtaka amshukuru mungu kwa kila baya na zuri linalimtokea kwa sababu ya kukamilisha mwisho mwema anaupanga mwenyezi mungu aliongeza kuwa hana sababu ya yeye kukata tamaa kwa sababu ukiangalia mwaka jana ni yeye ndiye msanii aliyeshinda tuzo nyingi sana za international
" kuliko wote Afrika
"Tunapo miss moja tusilalamike kwa sababu mungu anakuwa anatutia chachu ili tupambane zaidi ili tushunde nyingi zaidi baadae" Alisema Diamond Platnumz.
Hakuishia hapo Diamond akaongeza na kuwa wiki hii anaenda kuiachia nyimbo yake aliofanya na P Square sababu zilizo kuwa zikimzuia kufanya mambo yake ya kimuziki ni kutokana na mwezi mtukufu wa ramadhani hivi upo ukingoni mabalaa yanaendelea kama kawaida.
Msikilize hapa chini Diamond.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
ALICHOKISEMA DIAMOND BAADA YA KUKOSA TUZO YA BET! ATAJA SIKU YA KUACHIA COLABO YAKE NA P SQUARE PIA
Description : Diamond Platnumz msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyekuwa akiwakilisha ukanda huu katika tuzo kubwa duniani za BET amezungumza anavy...
Rating :
5