Mchana wa leo Jumatano ya June 15 imeripotiwa kuwa basi la kamouni ya TAHMEED lililokuwa likifanya safari zake za Dar - Tanga limeteketea moto lilipokuwa njiani kutoka jijini Tanga kuelekea jijini Dar.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Komkonga ambako inasemekana ajali hiyo imetokea wakati basi hilo limesimama baada ya abiria mmoja kuomba msaada wa kujisaidia (Kuchimba dawa) ndipo na abiria wengine kushika kwenda kuchimba dawa ndipo kuanza kusikia harufu ya rairi likiungua, muda mchache baada ya hapo tairi lili pasuka na moto kusambaa hadi kushika sehemu ya tanki la mafuta.
Taarifa zilizo ripotiwa ni kwamba hakuna mtu yeyote aliye poteza maisha ila tu hakuna mali yeyote iliyoweza kuokolewa kwa sababu ya moto ulivyokuwa mkubwa.
TAZAMA HAPA CHINI VIDEO
Kwa taarifa zaidi tufuatilie katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama
INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER na
EMAIL
Title :
(+BREAKING NEWZ) BASI LA ABIRIA LA KAMPUNI YA TAHMEED LATEKETEA MOTO (+PICHA & VIDEO)
Description : Mchana wa leo Jumatano ya June 15 imeripotiwa kuwa basi la kamouni ya TAHMEED lililokuwa likifanya safari zake za Dar - Tanga limeteketea ...
Rating :
5