Msanii wa Bongo Flavour Hit maker wa single ya nyota aliyo mshirikisha amini amezunngumza changamoto ambazo amewahi kukutana nazo katika safari yake ya kimuziki.
Ni mengi aliyo yazungumza alipokuwa anahojia na Millard Ayo wa TZA nna baadhi ya changamoto alizozitaja ni pamoja na kuzomewa kwenye show zaidi ya mara moja.
Kama msanii jambo hilo ni jambo la kusikitisha sana na la kukatisha tamaa pia pale unapopata show ukutane nna mashabiki wako lakini mambo yanaenda tofauti na mapokeo ya mashabiki wa muziki wako.
Imemuumiza sana Peter Msechu hiyo hadi kumpelekea kuna baadhi ya show akachukua jukumu lla kurudisha pesa aliyolipwa na muajiri wake katika tukia (Promoter) na kuamua kuacha kupiga show.
Muziki una changamoto nyingi sana na wengi wanakutana na matatizo kama hayo lakini msechu ameamua kusema na sisi leo.
Title :
NIMEWAHI KURUDISHA PESA YA PROMOTER KWA SABABU SIKUSHANGILIWA KWENYE SHOW -; PETER MSECHU
Description : Msanii wa Bongo Flavour Hit maker wa single ya nyota aliyo mshirikisha amini amezunngumza changamoto ambazo amewahi kukutana nazo katika s...
Rating :
5