Alfajiri ya kuamkia leo Tarehe 27 June ilikuwa ndio fainali ya kombe la Copa Amerca amblo fainali hiyo ilizikutanisha Timu za Argentina ya Leonel Messi na Chile ya kina Alexis Sanchez na Aturo Vidal na wababe hao wakaibuka washindi baada ya mikwaju ya penalty kumalizika kwa 2-4.
 |
| Chile wakisherehekea ubingwa wao |
 |
| Alexis Sanchez |
Nimekuwekea Video ya mechinzima matukio yote makubwa yalotokea katika mechi hiyo itazame hapa chini.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
(+PICHA & VIDEO) TAZAMA ARGENTINA WALIVYO FUNGWA NA CHILE KWENYE FAINALI YA COPA AMERCA NA CHILE KUIBUKA MABINGWA 2016
Description : Alfajiri ya kuamkia leo Tarehe 27 June ilikuwa ndio fainali ya kombe la Copa Amerca amblo fainali hiyo ilizikutanisha Timu za Argentina ya...
Rating :
5