Raymond (rayvanny) kutoka lebo ya WCB ni msanii mwenye vipaji vingi katika sanaa ya muziki na hiyo inampelekea kufanya aina tofauti tofauti za muziki kamaHiphop na nyinginezo.
Amelithibitisha hilo baada ya kuonyesha uwezo wa hali ya juu katika freestyle alizokuwa akizifanya Studio zao za Wasafi Records.
Mtazame hapa chini.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
(+VIDEO) HAUTAAMINI UKISHUHUDIA HUU UWEZO WA RAYMOND (rayvanny) WA KU FREESTYLE! KWENYE BEAT YA ALL THE WAY UP YA FAT JOE
Description : Raymond (rayvanny) kutoka lebo ya WCB ni msanii mwenye vipaji vingi katika sanaa ya muziki na hiyo inampelekea kufanya aina tofauti tofauti ...
Rating :
5