Lebo ya muziki inayofanya vizuri sana kwa sasa nchini Nigeria na Africa kwa ujumla Mavin Record wameingia mkataba mpya wa management na kampuni ya Temple Management Company (TMC).
Mkataba huo umesainiwa katika Visiwa vya Victoria katika Ofisi za TMC kati ya Mkurugenzi mtendaji wa TMC IdrisOlorunnimbe na Bosi wa Mavin Recocd Don Jazzy.
Baada ya kusaini mkataba huo Don Jazzy aliingia katika ukurasa wake wa Instagram na kutangaza deal hilo.
Alitangaza kuwa ni mwanzo mpya wa mafanikio kwa Mavin Record na vipaji vyake kwa ujumla.
"Signed, Sealed, Delivered! Mavins Record is Steping into the future with The Temple Management Company @Thetemplecompany as they redefine creative talent management in Nigeria #SMD #Mavin #TMC #NewDown" Aliandika Don Jazzy
A photo posted by DONJAZZY 🇳🇬 (@donjazzy) on
Title :
BAADA YA TIWA SAVAGE KUONDOKA MAVIN RECORD NA KUSAINIWA NA ROCK NATION YA JAY Z, MAVIN RECORD WAINGIA MKATABA MPYA!
Description : Lebo ya muziki inayofanya vizuri sana kwa sasa nchini Nigeria na Africa kwa ujumla Mavin Record wameingia mkataba mpya wa management na kamp...
Rating :
5