Rapa mmarekani 50 Cent na mmoja wa wasaidizi wake wameshikiliwa na Polisi huko St. Kitts kwa utumiaji wa lugha chafu wakati akitumbuiza katika tamasha la muziki.
Kauli ya polisi inasemakuwa rapa wa in Da Club jina lake la kweli likifahamika kwa jina la Curtis Jackson na Bajar Walter walikamatwa na kushitakiwa baada ya perfomance usiku wa jumamosi.
Waandaaji wa tamasha walithibitisha uwepo wa Lugha chafu (Matusi) wakati tamasha likiendelea.
"Jackson paid a fine and returned to the US on Sunfay" Alisema Miss Amanda Ruisiambaye ni mwakilishi wa 50 Cent.
Chini ya sheria ndogo ya St Kitts kosa hilo ni kosa dogo la jinai kutumia maneno yasiyo ya kimaadili katika maeneo ya umma. Polisi walisema mtuhumiwa anaweza kufungwa jela kulingana na ukubwa wa kosa.
Rapa mmarekani DMX aliwahi kuhukumiwa kwa kosa kama hilo huko Island mwaka 2003.
Title :
50 CENT ASHIKILIWA NA POLISI KWA MATUMIZI YA LUGHA CHAFU JUKWAANI
Description : Rapa mmarekani 50 Cent na mmoja wa wasaidizi wake wameshikiliwa na Polisi huko St. Kitts kwa utumiaji wa lugha chafu wakati akitumbuiza kati...
Rating :
5