Wasanii wa muziki wa marekani Drake na mwanadada Rihanna wamechukua vichwa vya habari tena baada ya kuonekana pamoja usiku wa kuamkia Jumanne katika Birthday ya 38 ya Nicole Scherzinger.
Ingawa wakati wa kuondoka wawili hao walipigwapicha kila mmoja akiondoka kivyake yani mmoja baada ya mwingine kwenye majira ya saa 12 alfajiri.
Kama kawaida ya mwanadada Rihanna alionekana mzuri wakupendeza sana katika mavazi yake ya gauni la Pink huku Drake akiwa kajitupia ndani ya T.Shirt nyeupe,na koti la Ferrari lenye rangi za wekundu na weupe.
Title :
DRAKE & RIHANNA KWENYE HEAD LINES TENA
Description : Wasanii wa muziki wa marekani Drake na mwanadada Rihanna wamechukua vichwa vya habari tena baada ya kuonekana pamoja usiku wa kuamkia Jumann...
Rating :
5