Mtanzania pekee aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo za BET nchini marekani Diamond Platnumz ameshindwa kuchukua tuzo hiyo na ikaenda kwa Msanii Black Cofee kutoka nchini Afrika ya kusini
Diamond Platnumz ni msanii pekee kutoka Afrika mashariki aliyekuwa naminated katika tuzo hiyo ya Best Inernational Act Africa nna wenzake walikuwa ni
Wizkid kutoka nchini Nigeria,
AKA kutoka South Africa,
Serge Beynaud kutoka Cote D'Ivoire
, MzVee wa Ghana,
Cassper Nyovest wa South Africa,
Black Cofee wa South Africa ambaye ndio mshindi wa tuzo hiyo na mwanadada
Yemi Alade kutoka nchini Nigeria.
 |
| Huyu ndie Black Cofee Mshindi wa tuzo ya BET mwaka 2016 | |
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
DIAMOND PLATNUMZ AKOSA TUZO YA BET! NA HUYU NDIO MSHINDI
Description : Mtanzania pekee aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo za BET nchini marekani Diamond Platnumz ameshindwa kuchukua tuzo hiyo na ikaenda kwa M...
Rating :
5