Kwa tunavyo kujali msomaji wetu na tunavyo jali uhitaji wako wa habari za burudani na burudani zenyewe bila kujali kuwa ulipitwa na habari fulani kwa wakati muafaka tumeamua kuwa tunakuletea vipindi vya televisheni ambavyo vilibamba na vitakavyo bamba katika burudani.
Kwa mfano vipindi kama Sporah na Mkasi ni vipindi ambavyo tutakuwa tunakusogezea hapa kila virukapo mitandaoni na katika media. Tunakujali na tunajali uhitaji wako wa habari pia.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
KAMA ULIPITWA NA HII SHOW YA MKASI ILIPO MVUTA CHEGE KARIBU NIMEKUSOGEZEA HAPA
Description : Kwa tunavyo kujali msomaji wetu na tunavyo jali uhitaji wako wa habari za burudani na burudani zenyewe bila kujali kuwa ulipitwa na habari...
Rating :
5