Raymond ni msanii ambaye ametoka chini ya uongozi wa Tiptop Connection na baadae akatim kia WCB ambayo ndo yupo hadi sasa na anafanya vizuri sana kwa sasa akiwa chini ya lebo hiyo.
Madee ameweka sawa uvumi ulokuwa ukisema kwamba Raymond amemkimbia Tiptop Connection na kumfuata Diamond Platnumz katika lebo ya WCB Wasafi lebo ambayo inafanya vizuri sana kwa sasa na imetabiriwa makubwa sasa siku za karibuni.
"Diamond haja nipora na wala hana uwezo wa kuniora mwanamuziki yeyute yule ambaye me namtaka au nampenda, Raymond ni mwanamuziki ambaye tumemtoa sisi mbeya kama ambavyo tumemtoa Dogo janja, sis pale Tiptop tunao wana muziki wengi sana hawa ma underground, Diamond alitoa wazo la kuvumbua record label yake ya WCB alikuwa na mwanamuziki mmoja tu!
Then unajua Diamond anafanya kazi na Babu Tale kwa hiyo mambo yote anayoyaongea Diamond na Babu tale ana yaongea pia, kwahiyo walitoa wazo kwamba wanamtaka Raymond kwenye chama chao cha WCB sis kama Tiptop hatukuwa na pingamizi lolote kwasababu pia ni njia nyingine ya kuongeza undugu ukizingatia Tale antusima mia sisi wote yaani Diamond, mimi na Raymond pia kwahiyo bado ni family. Alimaliza na kusema kwamba HAKUNA TATIZO HAPO.
Hayo ni baadhi tu ya maneno aliyo yazungumza Madee wakati akifanyiwa interview na Global TV. Unaweza kumtazama hapa chini.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
DIAMOND HAJANIPORA RAYMOND WALA HANA UWEZO WA KUNIPORA MWANAMUZIKI YEYOTE AMBAYE ME NAMTAKA: MADEE
Description : Raymond ni msanii ambaye ametoka chini ya uongozi wa Tiptop Connection na baadae akatim kia WCB ambayo ndo yupo hadi sasa na anafanya vizuri...
Rating :
5