Ni shavu la kutosha alilolipata msanii Wizkid kutoka kwa mkali wa RnB Chris Brown la ku perfome nae kwenye stage moja katika tour alokuwa akiifanya mkali huyo kutoka Amerca.
Jana June 13 ilikuwa ni moja ya siku katika tour hiyo na Wizkid aliweza ku perfome na kuonyesha uwezo wake mbele ya maelfu ya watu weupe.
Title :
PICHA12-; ALIVYO KIWASHA WIZKID KWENYE STAGE YA ONE HELL OF A NIGHT TOUR YA CHRISS BROWN (NA VIDEO PIA)
Description : Ni shavu la kutosha alilolipata msanii Wizkid kutoka kwa mkali wa RnB Chris Brown la ku perfome nae kwenye stage moja katika tour alokuwa...
Rating :
5