Meneja wa kundi la muziki wa kizazikipya la Yamoto Banda ndugu Saidy Fella ameongea mipango yake ya kuvumbua vipaji vipya chini ya kampuni yake ya Mkubwa na Wanawe.
"Mimi kazi yangu ku brand na kupeleka mjini, so nnikiona soko linnamuhitaji Maromboso afanye pekeake sawa kwa sababu hata Aslay kabla alikuwa pekeake mkubwa na wanawe yote sisi tunaangalia tusije kufanya kitu kumbe kinakuja kudhuru kitu, lakini kama wananchi wamewakubali na wanafanya kazi vizuri wataendelea kufanya kazi zao binafsi." Alisema Mkubwa Fella
Msikilize hapa.
Title :
HII HAPA MIPANGO YA SAIDY FELLA KUHUSU KUWATOA WASANII WAPYA CHINI YA MKUBWA NA WANAWE (+AUDIO)
Description : Meneja wa kundi la muziki wa kizazikipya la Yamoto Banda ndugu Saidy Fella ameongea mipango yake ya kuvumbua vipaji vipya chini ya kampuni...
Rating :
5