Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flavour katika miondoko ya Hiphop Juma Mchopanga almaarufu kama Jay Moe hit maker wa nngoma ya pesa madafu inayofanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio na televisheni kwa sasa leo amefunguka yamoyoni na kuwapa wasanii wenzake mbinu za kutoboa katika game ya muziki huu wa sasa ambao wengi wanaamini umekuwa biashara.
Akihojiwa na Divine Kweka katika kipindi cha super mege cha Kings Fm redio iliyopo huko njombe jay moe amesisitiza kwamba njia pekee ya wasanii ya hip hop ambao bado wanaimba kwa style za kizamani wanatakiwa wabadilike ili waendane na soko na watapata mafanikio sababu muziki sasa umekuwa biashara.
Hakuacha kuyazungumzia mafanikio machache aliyoyapata kwa muda mfupi tu baada ya kubadilika na kuamua kutoa nyimbo yake mpya ya Pesa Madafu ambayo inafanya vizuri kwa sasa.
Msikilize hapa
Title :
WANA HIP HOP TUNATAKIWA TUBADILIKE ILI TUPIGE HATUA -; JAY MOE
Description : Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flavour katika miondoko ya Hiphop Juma Mchopanga almaarufu kama Jay Moe hit maker wa nngoma ya pesa mada...
Rating :
5