Leo June 30 ilikuwa ndio robo fainali ya kombe la EURO kwa mwaka huu wa 2016 na ilikuwa inayakutanisha mataifa mawili kutoka bara hilo la Europe na mataifa hayo ni Poland na Portuga (Ureno) na mchezo huo umeamuliwa kwa mikwaju ya penalty na Portugal kuweza kuibuka na ushindi wa Penalty 5-3
Huku dakika 90 za mchezo huo zikimalizika kwa matokeo ya sare ya 1-1 mabao yaliyofungwa na Robert Lewandoski kwa upande wa Poland mnamo dakika ya 2' tu ya mchezo na goli la kusawazisha likapachikwa kimiani na Renato Sanchez kwa upande wa Portugal mnamo dakika ya 33' ya mchezo.
Tazama magoli hayo hapa chini.
Tazama mikwaju ya penalty ilivyo pigwa hapa chini
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
PORTUGAL YAIONDOA POLAND KWENYE MASHINDANO KWA MIKWAJU YA PENALTY (EURO 2016)
Description : Leo June 30 ilikuwa ndio robo fainali ya kombe la EURO kwa mwaka huu wa 2016 na ilikuwa inayakutanisha mataifa mawili kutoka bara hilo la ...
Rating :
5