Tz Sweetheart kama amavyojiita katika ukurasa wake wa Snapchat mwanadada Wema Sepetu ameshindwa kuficha hisia zake kwamba japo kwa sasa hawana mawasiliano mazuri na EX Boyfriend wake Diamond Platnumz sio kigezo cha yeye kutopenda kazi zake.
Amelithibitisha hilo leo June 30 baada ya kupost katika account yake ya mtandao wa kijamii wa Snapchat nyimbo mpya ya marehemu Papa Wemba aliyoiacha ameshirikiana na Diamond Platnumz na kuandika kuwa anaipenda sana hiyo nyimbo.
Hakuishia hapo aliendelea kwa kuandika baadhi ya mistari iliyoimbwa na Diamond Platnumz katika wimbo huo na kuonekana alikolezwa zaidi na mistari ile ambayo imeimbwa na EX wake huyo.
 |
| Diamond na Wema Sepetu kipindi cha mahusiano yao. |
Itazamehapa video ya posti za Wema Sepetu alivyokuwa akiposti nyimbo hiyo Snapchat.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
(+VIDEO) WEMA SEPETU ASHINDWA KUFICHA HISIA ZAKE! aSEMA ANAIPENDA SANA NYIMBO YA PAPA WEMBA NA DIAMOND
Description : Tz Sweetheart kama amavyojiita katika ukurasa wake wa Snapchat mwanadada Wema Sepetu ameshindwa kuficha hisia zake kwamba japo kwa sasa hawa...
Rating :
5