iDiamond Platnumz na uongozi wake wameamua kuweka wazi kwa mashabiki wao leo kwambasiku yoyote kuanzia leo wataachia nyimbo yao ambayo Diamond amewashirikisha ma nguli wa muziki kutoka Afrika magharibi Peter & Paul (P, Square)
Alianza Diamond kwa kupost katika mtandao wa kijamii wa instagram post ambayo ikiwahimiza mashabiki wake wa subscribe kwenye page yake ya Youtube ili kuwa wakwanza kuitazama video hiyo muda wowote atakapo iachia.
A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Haikuishia hapo meneja wake Sallam SK pia akapost katika page yake Snapchat na muonekano wa Post ulikuwa hivi.
Title :
HIT YA DIIAMOND FT P-SQUARE KUACHIWA SIKU YOYOTE KUANZIA LEO (IMETHIBITISHWA)
Description : iDiamond Platnumz na uongozi wake wameamua kuweka wazi kwa mashabiki wao leo kwambasiku yoyote kuanzia leo wataachia nyimbo yao ambayo Diamo...
Rating :
5