Msanii mashuhuri wa miondoko ya R&B amepata msonfgo wa mawazo baada ya kijana mmoja mkazi wa Dar es Salaam alotambulika kwa jina la 'james" ambae ametambulika kwa jina la "Tata" amabe amejihusisha na mahusiano ya jinsi moja (shoga)
Jux amabe yuko katika mapenzi mazito na mpenzi wake aliekuwa mtangazaji kabla ya kugeukia mziki wa kizazi kipya Vanessa mdee "v-money" alionekana kulipuuzia jambo hilo licha ya baadhi ya mashabiki zake walionekana kutaka kulijua jambo hilo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Kiafrika mahusiano hayo ya jinsi moja yamepigwa vita hasa katika uwanda wa kati wa tanzania kwa kuwa ni kinyume cha maadili ya kiafrika ,akiripotiwa na vyombo vya habari dada wa kwanza wa msanii huyo alisema
"Kiukweli huyu mtu anachukiza sana kiasi amabacho tutamchukulia hatua za kisheria maana sio maadali ya kiislam na sio ya kiafrika ,tumemjua kuwa anaitwa tata na tumeshampa onyo aache kutangaza habari hizo",Alisema Fatuma.
jux katika pozi na gari yake mpya
ILIKUENDELEA KUPATA HABARI KEMKEM KILA SIKU ENDELEA KUWA NASI
TANZANIA TRENDS
Title :
NEWS: JUMA MUSSA " JUX" AMLAANI TATA KWA KUMFUATILIA.....(SOMA HABARI ZAIDI)
Description : Msanii mashuhuri wa miondoko ya R&B amepata msonfgo wa mawazo baada ya kijana mmoja mkazi wa Dar es Salaam alotambulika kwa jina la ...
Rating :
5