Diamond Platnumz ameweka wazi leo kwamba nyimbo alofanya yeye na P Square iko mbioni kutoka hivi punde.
Ameongea leo June 12 katika ukurasa wake wa insta gram akiwaambia mashabiki zake wamwambie kila mmoja kwamba Collabo yake na wanamuziki mapacha kutoka Africa Magharibi iko mbioni kutoka hivi punde.
Kutana na Post hiyo ambayo Diamond alikuwa akizungumza na mashabiki zake.
A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Title :
(+INTERTAINMENT) COLLABO YA DIAMOND NA P SQUARE MBIONI KUTOKA HIVI PUNDE
Description : Diamond Platnumz ameweka wazi leo kwamba nyimbo alofanya yeye na P Square iko mbioni kutoka hivi punde. Ameongea leo June 12 katika ukura...
Rating :
5