Ilikuwa wakati wameenda ku shoot video ya msanii mpya wa WCB (Rich Mavoko) Ibaki Story ndio jina lanyimbo ndipo Diamond aliamua kujisogeza nyumbani kwa mama wa mtoto wake (Princess Tiffah) Zari the Boss Lady.
Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Diamond kutembelea nyumbani hapo na hivyo Zari akafanya tour fupi kwa Diamond kumtembeza na kumuonyesha mandhari ya nyumba hiyo.
Title :
(+VIDEO) TAZAMA DIAMOND ALIPOENDA KUMTEMBELEA ZARI NYUMBANI KWAKE KWA MARA YA KWANZA HUKO SOUTH AFRICA (IBAKI STORY BEHIND THE SCENE)
Description : Ilikuwa wakati wameenda ku shoot video ya msanii mpya wa WCB (Rich Mavoko) Ibaki Story ndio jina lanyimbo ndipo Diamond aliamua kujisogeza...
Rating :
5