Hit maker wa ngoma ya Shika adabu yako (Nay wa Mitego) amesema mashabiki wake wa kae mkao wa kula kwa kuisubiria remix ya nyimbo yake hiyo ambayo amewataja mastaa kibao na ni nyimbo ambayo ilimletea matatizo kipindi anaitoa Official Audio.
Amezungumza hayo na kuweka wazi kwamba atawashirikisha wasanii wenzake takribani wa tatu ambao nao wanafanya aina ya muziki anayoufanya yeye.
ameongeza kwa kuweka bayana kwamba mmoja kati ya hao watatu ni underground (msanii mchanga) ambaye jina lake halijaanzakusikika kwa watu.
Msikilize hapa Nay wa Mitego akizungumza juu ya hilo
Title :
(+Audio) KAENI TAYARI KWA REMIX YA SHIKA ADABU YAKO-.;NAY WA MITEGO
Description : Hit maker wa ngoma ya Shika adabu yako (Nay wa Mitego) amesema mashabiki wake wa kae mkao wa kula kwa kuisubiria remix ya nyimbo yake hiyo...
Rating :
5