Msanii wa Bongo flavour Nuh Mziwanda katangaza kwenywe ukurasa wake wa innstagram kwamba kesho tarehe 10 June ndio anaachia rasmi video ya nyimbo yake mpya aliyo mshirikisha Alikiba.
A photo posted by Nuhu mziwanda (@mziwandanation) on
Kaatayari kuipokea video hiyo kwa mara ya kwanza hapa hapa kwenye blog yako pendwa inayojali maslahi yako.
Title :
JIKE SHUPA; VIDEO KUACHIWA RASMI KESHO
Description : Msanii wa Bongo flavour Nuh Mziwanda katangaza kwenywe ukurasa wake wa innstagram kwamba kesho tarehe 10 June ndio anaachia rasmi video ya ...
Rating :
5