Siku za hivi karibuni kumekuwa na uvumi kwamba Msanii wa Bongo FLavour Abdu Kiba amesikika akisema kwamba yuko tayari kufanya kazi na label ya muziki inayosimamiwa na msanii mwenzake Diamond Platnumz (WCB)
Msanii huyo ambaye ni HIT Maker wa nyimbo kama Hatuna Habari nao, Kidela ambayo aliimba na Mkubwa wake ALikiba, Huyo siyo dem na nyingine kibaao aliongeza kwa kusema kwamba Labelaliyopo inamtosheleza kwa kila kitu na wala hajawahi kufikiria kuhama katika Record label hiyo na kwenda kwingine kokote kwasababu anaamini Label yake ina madini kushinda sehemu nyingine.
Abdu kiba anasambaza video ya nyimbo yake mpya aliyoiachia wiki hii inayoitwa BAYOYO.
Mtazame hapa Abdu kiba akifunguka juu ya suala hili.
Title :
(+VIDEO) SIWEZI KUFANYA KAZI CHINI YA LABEL YA WCB - ABDU KIBA
Description : Siku za hivi karibuni kumekuwa na uvumi kwamba Msanii wa Bongo FLavour Abdu Kiba amesikika akisema kwamba yuko tayari kufanya kazi na label ...
Rating :
5