Msanii Madee kutoka Tiptop Connection ameamua kuanza kuuza video zake kwa kuzitengeneza katika mfumo wa albam na kuzitembeza mwenyewe.
Kikawaida watu tumezoea videoz kukaa youtube tu hasa kwa wasanii wetu wa hapa nchini, Madee ameamua kufanya kitu cha tofauti na nimaendeleo katika sanaa na muziki wetu kwa ujumla.
Msikilize hapa Madee akiongea juu ya hilo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
MADEE NA MPANGO WAKE WA KUUZA VIDEO ZAKE KWA MFUMO WA ALBAM: MSIKILIZE HAPA
Description : Msanii Madee kutoka Tiptop Connection ameamua kuanza kuuza video zake kwa kuzitengeneza katika mfumo wa albam na kuzitembeza mwenyewe.
Rating :
5