Linex amethibitisha kuwa Jumatatu ya Tarehe 27 mwezi huu wanaachia nyimbo yao mpya wakiwa na Christian Bella inayoitwa Hewala.
Akizungumza juu ya ukaribu ambao amekuwa nao siku za karibuni Linex amethibitisha kuwa ukaribu wa yeye na Christian Bella unasababishwa na kazi tu na si vinnginevyo.
"Unajua muziki mzuri huwa unaunganisha watu, kwa sababu Bella ana muziki mzuri kama watu wanavyojua, mie pia nina muziki mzuri. Alisema Linex,
Na pia akaongeza "Sisi hatuna ushkaji mwingine, ushkaji wetu sisi ni kazi kazi tuh"
Msikilize hapa Linex
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
JUMATATU YA JUNE 27 TARAJIA HIT KUTOKA KWA CHRISTIAN BELLA NA LINEX; LINEX KATHIBITISHA
Description : Linex amethibitisha kuwa Jumatatu ya Tarehe 27 mwezi huu wanaachia nyimbo yao mpya wakiwa na Christian Bella inayoitwa Hewala.
Rating :
5