Rich mavoko ni msanii ambaye amesainiwa rasmi wiki chache zilizopita katika label ya muziki ya WCB label ambayo inafanya vizurii sana katika kuwasimamia wasanii kwa sasa.
Rich mavoko amezungumzia utofauti aliouona kabla ya kuingia katika label hiyo na sasa ambapo yupo chini ya label hiyo na kusema kuwa utofauti ni mkubwa mno na label yake hiyo ina mipango mikubwa mno katika kuusogeza muziki wa Tannzania katika next level.
Akizungumza na
Bongo5 Rich mavoko alisema "
Kama ningekuwa na uwezo wa kutoa siri za kampuni ningewaambia nani ana Video ngapi na mipango ya kila mmoja lakini naomba watanzania watuonyeshe ashirikiano kwa sisi vijana wao kwasababu tunajaribu kuupeleka muziki katika sehemu ambayo nafikiri kila mtu ataupenda" Alisema Rich Mavoko
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
MIAKA MIWILI IJAYO WCB ITAKUWA KUBWA SANA AFRIKA NA DUNIA -; RICH MAVOKO
Description : Rich mavoko ni msanii ambaye amesainiwa rasmi wiki chache zilizopita katika label ya muziki ya WCB label ambayo inafanya vizurii sana katik...
Rating :
5