Mkurugenzi wa vipindi na utangazaji wa Clouds Media Group ndugu Ruge mutahaba amesema kuwa tatizo kubwa linalo wasibu wasanii wetu wa ndani hadi kupelekea kushindwa kufanya vizuri kumataifa ni kwasababu wana wahi kuridhika mapema.
Ruge alizungumza hayo alipoulizwa ni kwanini wasanii wandani wanashindwa kukaa kwenye game kwa muda mrefu na kushindwa kufanya vizuri kimataifa na Ruge alijibu
"Tunashindwa ni kwasababu wengi wanaridhika mapema, mtu anatoa nyimbo moja, annakwenda kutoa video nje moja kisha anakaa mwaka mzima kwa nyimbo hiyo hiyo moja na anabaki akijiaminisha kuwa anafanya vizuri, mimi siamini kama anafanya vizuri" Alisema Ruge
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
WASANII WENGI WA BONGO WANASHINDWA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA SABABU WANARIDHIKA MAPEMA -; RUGE
Description : Mkurugenzi wa vipindi na utangazaji wa Clouds Media Group ndugu Ruge mutahaba amesema kuwa tatizo kubwa linalo wasibu wasanii wetu wa ndani ...
Rating :
5