Mwanadada Linah ameweka wazi kwamba hana mpango wa kuwa mke wa mtu kwa sasa kwasababu anahisi hajamaliza mambo yake na lufikia hatua ya kukubali kukaa nyumbani na kuwa chini ya mtu kwasasa ila matamanio yake makubwa kwa sansa ni kupata mtoto tu.
Wiki ilyopita Linnah aliingia kwenye headlines kwa kusema kwamba anavutiwa na mwanamuziki wa Hiphop Darasa na anatamani angepata mpenzi kama yeye ila time hii imekuwa tofauti kidogo sababu Linah amesikika akisema kuwa anatamani mtoto ila hajamuona mwanaume wa kuzaa nae.
"Naona matukio mengi sana yanayotokea kwenye ndoa na yannaniogopesha sana" Alisema mwanadada Linah. Msikilize hapa chini.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
SIFIKIRII KUOLEWA KWA SASA! NATAKA KUBEBA MIMBA NIZAE TU! -; LINAH
Description : Mwanadada Linah ameweka wazi kwamba hana mpango wa kuwa mke wa mtu kwa sasa kwasababu anahisi hajamaliza mambo yake na lufikia hatua ya kuku...
Rating :
5