Rich mavoko msanii ambaye ameingia kwenye Headlines wiki chache zilizopita baada ya kisainiwa na label ya WCB amesema kwamba kama WCB wangekuja kumtaka kwa mbinu za kumwambia watampa gari na nyumba asingejiunga nao kwasababu wengi wenye mbinu hizo huwa wanajali maslahi yao na si maslahi ya msanii.
Alionngeza kwa kujipongeza maamuzi yake kwa kujiunga nna lebo hiyo kwa sababu watu kufanya kazi kwa pamoja ni vizuri tofauti na msanii kufanya kazi kama silo aetist.
"
Msanii unapoambiwa kwamba kuna gari na nyumba haafu ukapapatika ukaenda kusaini mkataba inatakiwa ujiulize huyo anaekupa ana nia gani na hivyo vitu!? na kwanini wewe unashindwa kupambana ukavipata hivyo vitu!?" Alisema Rich Mavoko
Msikilize hapa
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
WCB WANGEKUJA NA PIGO ZA KUNIPA GARI NA NYUMBA ILI KUNI SAINI WASINGENIPATA -; RICH MAVOKO
Description : Rich mavoko msanii ambaye ameingia kwenye Headlines wiki chache zilizopita baada ya kisainiwa na label ya WCB amesema kwamba kama WCB wangek...
Rating :
5