Baada ya Tetesi zilizo enea kwamba msanii Young Dee amegombana na meneja wake Max Millian (MDB) ama Million Dollar Boy kama ambavyo humwita yeye mwenyewe Young Dee hivi karibuni Young Dee amekuwa akipost picha za meneja wake huyo jambo ambalo limewaacha watu wengi midomo wazi kwa sababu ni jambo ambalo hawaku litegemea kwasababu ya ugomvi wa wawili hao.
Young Dee ametoa neno juu ya uamuzi wake huo wa kuwa anampost meneja huyo baada ya kuulizwa na vyombo vya habari kwamba amerudi chini ya uongozi wake au kuna lingine linaendelea tofauti na hilo.
Young Dee amemjibu hivi Perfect Crispin baada ya kumvutia waya kwenye 255 ya XXL kutoka Clouds FM.
Title :
YOUNG DEE ATOA NENO KUHUSU MAX MILLIAN
Description : Baada ya Tetesi zilizo enea kwamba msanii Young Dee amegombana na meneja wake Max Millian (MDB) ama Million Dollar Boy kama ambavyo humwit...
Rating :
5