Nahodha wa timu ya taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi leo Junne 21 kustaafu rasmi kuichezea timu yake ya taifa ya Sweden baada ya michuano ya EURO inayoendelea huko nchini Ufaransa na hivyo kutojiunga na timu hiyo katika michuano ya Olympic itakayo fanyika huko nchini Brazil.
Nyota huyo ambae yuko huru kwa sasa baada mkataba na klabu yake ya zamani ya Paris Saint German (PSG) kumalizika ameyazungumza hayo leo baada ya kuitisha mkutanno na waanndishi wa habari.
Inasadikika ni habari njema kwa klabu ya Manchester United kwa sababu mchezaji huyo anatajwa kuwa katika mazungumzo ya kujiunga na klabu hiyo.
Title :
ZLATAN IBRAHIMOVIC ATANGAZA KUSTAAFU RASMI KUICHEZEA SWEDEN
Description : Nahodha wa timu ya taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi leo Junne 21 kustaafu rasmi kuichezea timu yake ya taifa ya Sweden ba...
Rating :
5