Wema Sepetu ameamua kuweka wazi na kuthibitisha kabisa yeye ni shabiki namba moja wa Diamond Platnumz.
Hatua hiyo ameisema kama ni kutua mzigo alio kuwa nao zamani wa maisha ya kuigiza pindi akiwa na watu anapo jifanya hapendi hata kusikia nyimbo za Diamond wakati yeye ni shabiki wake.
Amefananisha ni kama alikuwa anaishi kwenye kifungo kwa kushindwa kuonyesha hisia zake za kweli mbele za watu kwa kuhofia watu watamsema lakini sasa ameutua mzigo huo na yuko huru kufanya lolote kwa sababu yeye na Diamond kwa sasa hawana tatizo na wanapeana sapoti kama wasanii.
Ameyaongea hayo ilipo fanyiwa interview na AyoTV usiku wa kuamkia leo.
Mtazame hapa Wema Sepetu akiyazungumzia hayo na akiongelea furaha yake kwa hatua waliyo fikia yeye na Diamond.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
NAMPENDA DIAMOND, NAPENDA NYIMBO ZA DIAMOND, MIMI NI SHABIKI WA DIAMOND -: AMEYASEMA WEMA SEPETU
Description : Wema Sepetu ameamua kuweka wazi na kuthibitisha kabisa yeye ni shabiki namba moja wa Diamond Platnumz.
Rating :
5