Diamond Platnumz amefunguka kitu ambacho kila akikikumbuka kinamuumiza sana katika maisha yake ni kumpoteza bibi yake kipinzi ambaye alikuwa nae brga kwa bega katika kumsapoti katika kazi zake za kimuziki.
Diamond Platnumz amesema kuwa kinacho muumiza ni kuwa angependa kumuona leo pindi amepata mafanikio na kuweza kukifurahia kile ambacho walikuwa wakiki tamani kipindi kile ila kibaya zaidi ni kuwa bibi yake huyo alifariki Dunia wiki mbili tu baada ya Mbagala kuachiwa, kazi ambayo katika video bibi yake huyo alishiriki.
Msikilize hapa Diamond Platnumz akiongea kuhusu jambo hilo.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
HIVI UNAKIJUA KITU AMBACHO DIAMOND PLATNUMZ HAWEZI KUKISAHAU KATIKA MAISHA YAKE!? HIKI HAPA
Description : Diamond Platnumz amefunguka kitu ambacho kila akikikumbuka kinamuumiza sana katika maisha yake ni kumpoteza bibi yake kipinzi ambaye aliku...
Rating :
5