Baada ya maneno mengi kupita na matukio mengi kutokea mahasimu wawili wenye nguvu za ushawishi Tanzania waliowahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi wameamua kumaliza tofauti zao na kuendeleza maissha kwakuanza kupeana sapoti katika mambo wanayo yafanya wao kama ma celebs.
Ilianza kwa mwanadada Wema Sepetu kuwa anatoa sapoti kwa Diamond Platnumz na timu yake nzima na watu kuanza kumpa coment kwa kila mmoja alivyo jisikia ikiwa ni nzuri au mbaya kuto kana na mapokezi ya mti binafsi alivyo lipokea jambo hilo.
Picha limeendelea leo baada ya kila mmoja kumpost mwenzake kwa style yake katika kurasa zao za Instagram na. Diamond Platnumz alianza kwa ku post picha ya Show ya Cristian Bella ambayo inawahusisha Wema Sepetu na Idris Sultan, hivyo Diamond Platnumz hakusita kuwa mention hata kwenye Comment na kuwataka mashabiki zake wahudhurie katika show hiyo inayoitwa THE BLACK TIE CHRISTIAN BELLA NIGHT
Iazame hapa chini post ya Diamond Platnumz alivyo wapost watatu hao hapa chini.
A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Wema Sepetu alianza kumpost Diamond Playnumz kwa aina yake kwa ku post picha za Diamond ambazo amezi crop kwa kuficha sura ya mpenzi wake huyo wa zamani na kuwaacha watu midomo wazi kwa kushindwa kuelewa kuwa wawili hao wamerudiana tena katika mahusiano ya kimapenzi au ni sapoti tu!
Itazame hapa post ya Wema Sepetu ya kwanza kumpost Diamond leo hapa chini!
A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on
Naweza kuku karibisha hapa chini kuitazama picha ambayo Wema Sepetu ali i crop ila ni picha ya Diamond Platnumz.
Post nyingine ambayo aliipost Wema Sepetu ambayo nayo pia ili make headlines kwa siku ya leo ni hii hapa chini ambayo pia ali mpost Diamond Platnumz ila ali mcrop pia kama alivyo fanya katika picha ya kwanza.
A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on
Nakukaribisha tena hapa chini kuiona picha ambayo Wema Sepetu aliicrop ambayo ilikuwa ni ya Diamond Platnumz na akaipost tena katika page yake.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ KUANZA KUPEANA SAPOTI
Description : Baada ya maneno mengi kupita na matukio mengi kutokea mahasimu wawili wenye nguvu za ushawishi Tanzania waliowahi kuwa katika mahusiano ya...
Rating :
5