Sahau kuhusu story zilizo pita zilizo kuwa zikihusisha beef kati wa ma celebrity wawili Linex na Director Adam Juma, bifu ambalo lilisababishwa na madai ya Linex kusema ameharibiwa video yake ya Salma aliyo mshirikisha Diamond Platnnumz iliyofanywa na director huyo kudai kwamba ilikuwa chini ya kiwango.
Tofauti zilitokea kati ya wawili hao na mengi yakiongelewa ila kwasasa wawili hao walisha maliza tofauti zao na wanaendelea kufanya kazi kama kawaida.
Linex amesikika akisema kuwa huenda video ya nyimbo yake mpya inayoitwa Hewala aliyo mshirikisha Christian Bella anategemea kuifanya na Director Afam Juma kwasababu ni mtu ambaye anamuamini na anaiamini kazi yake pia.
Ameyaongea hayo alipokuwa akihojiwa kwenye segment ya 255 ya Perfect Crispin katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm.
Msikilize hapa Linex akizungumza juu ya jambo hilo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
ADAM JUMA KUSHOOT TENA VIDEO YA LINEX! SAHAU KUHUSU BIFU BAINA YA WAWILI HAO
Description : Sahau kuhusu story zilizo pita zilizo kuwa zikihusisha beef kati wa ma celebrity wawili Linex na Director Adam Juma, bifu ambalo lilisabab...
Rating :
5