Dogo janja ni msanii ambae anatoka chini ya management ya Tiptop Connection inayosimamiwa na Babu Tale meneja ambaye pia anamsimamia Diamond Platnumz.
Dogo janja amesema katika wasanii ambao ana ndoto za kufanya nao kazi na ataridhika kama ikitimia ni Diamond Platnumz, Motra the Future msanii ambaye alifanya cover ya asanteni kwa kuja ya mwana FA na ikafanya vizuri na pia amewahikusikika katika Headlines kuwa ni msanii amabaye Diamond Platnumz mwenyewe ana ndoto za kufanya nae kazi. Msanii wa tatu aliyetajwa na Dogo janja ni Madee msanii ambaye pi anatoka chini ya Tipptop connection.
Dogo janja aliongeza kwa Diamond na kusema kuwa Diamond hata akipiga mruzi katika ngoma yake yeye kwake atafurahi na itakuwa ndoto zake zimetimia kwakumshirikisha katika ngoma hiyo.
Kwa taarifa zaidi tufuatilie katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama
INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER na
EMAIL
Title :
NATAMANI KUFANYA KAZI NA DIAMOND -; DOGO JANJA
Description : Dogo janja ni msanii ambae anatoka chini ya management ya Tiptop Connection inayosimamiwa na Babu Tale meneja ambaye pia anamsimamia Diamo...
Rating :
5