Leo Julai 1 ilikuwa ni hatua ya Robo Fainali ya kombe la Euro kwa mwaka huu wa 2016 iliyo yakutanisha mataifa ya Wales naBelgium ambapo Wales ameweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Mabao ambayo yalifungwa na Radia Naingolankwa upande wa Belgium mnamo dakika ya 13' pasi ya mwisho ikitoka kwa Eden Hazard. Ndipo dakika 18 baadae yaani dakika ya31' Ashley Williams alipo waandikia Wales bao lakusawazisha na mpira akaenda mapumziko magoli yakiwa 1-1.
Dakika ya 55' yamchezo Hai Robson-Kanu aliiandikia Walesbao la pili assist nzuri kutoka kwaAaron Ramsey.
Ndipo dakika ya86' ya mchezo Sam Vokes alipo funga bao la 3 kwaupande wa Wales na kufunga lango la mabao kwa mchezo huo na hadi kipenda chamwisho kinapulizwa matokeo yakawani 3-1.
tazama hapa jinsi ilivyo kuwa.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
WALES YATINGA NUSU FAINALI EURO! YAIKALISHA BELGIUM ROBO FAINALI (+VIDEO)
Description : Leo Julai 1 ilikuwa ni hatua ya Robo Fainali ya kombe la Euro kwa mwaka huu wa 2016 iliyo yakutanisha mataifa ya Wales naBelgium ambapo Wa...
Rating :
5