Mwana muziki mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Aboubakar Katwila almaarufu kama
Q Chief amezipongeza juhudi za msanii
Diamond Platnumz na hatua aliyo piga katika kuusogeza muziki wa Bongo Fleva mbele.
Akiongea katika kipaza cha Amplifaya ya
Clouds FM Q Chief amesema kuwa
Diamond Platnumz ni msanii ambaye amekuwa kama mfano na kumfanya kuwa na matamanio ya kufika pale alipo.
"Kwanza nimpongeze kwa hatua ambayo amepiga kutoka pale ambako me namuangalia mpaka anakwenda is alot of effort and energy ambayo imewekwa na management na yeye pamoja na displin ya hali ya juu, kitu ambacho always kina ni inspire kuwa one of example kama yeye alivyo tamani kuwa mfano na amefanikiwa kuwa one of example, kitu kizuri naweza kusema kuwa ametuamsha, leo hii kuna ma border tukiingia tukupita tuna tobolea pale, sio kitu kibaya kwa sababu unaona hata watu wengine wanafuata, kwa hili me nampa much respect" Alisema
Q Chief
|
Q Chief na Diamond Platnumz wakiwa Stejini |
Hakuiishia hapo Abubakar Katwila pia aliongeza kuwa
"Watoto wangu wakija watakuwa able ku shut na kina Compus na wengineo, leo mimi nafikiria kwenda kufanya kazi na Justin Compus kwa sababu nimekaa na nimeangalia na nimeona changes na nimeona nini kinafanyika" Alimaliza kwa kusema hivyo
Q Chief,
Msikilize hapa mkongwe huyo wa Bongo Fleva akiongea juu ya
Diamond Platnumz
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
Maneno ya Q Chief kuhusu Diamond alivyo isogeza Bongo Fleva kimataifa (+Audio)
Description : Mwana muziki mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Aboubakar Katwila almaarufu kama Q Chief amezipongeza juhudi za msanii Diamond Platnumz na ha...
Rating :
5