Wema Sepetu amebonga na sisi baada ya kusogezewa kipaza cha 255 ya XXL ya Clouds FM tatizo la wasanii walio chini ya label yake ya Endless Fame kushindwa kufanya vizuri na wakati yeye ni mmoja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa sana barani Afrika.
Wema Sepetu amemtupia lawama zote aliyekuwa msimamizi wa wasanii hao katika lebo hiyo
Petitman Wakuache kuwa ndio sababu ya wasanii hao kushindwa kufanya vizuri.
"Naweza kusema kwamba kwa sababu ni muda mrefu nilikuwa nimemuachia Petit hiyo kazi sidhani kama alikuwa anaitenda vizuri, kwahiyo let us give it another 3-6 months tusimame sisi kama sisi kwasababu unajua hivi vitu vya kum trust mtu anaweza kufanya tofauti na ulivyo tarajia" Alisema
Wema Sepetu.
Endless Fame inasimamia wasanii kama Mirrir, Jordan na Wengineo na tumesha sikia Hits kibao kutoka kwao. SO, ngoja tumpe muda madame tuone atajipanga vipi katika kuwasaidia vijana hao.
Msikilize hapa Wema Sepetu alipokuwa akiongelea swala hilo leo July 11.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
Petitman ndio sababu ya wasanii wa Endless Fame kushindwa kufanya vizuri -: Wema Sepetu
Description : Wema Sepetu amebonga na sisi baada ya kusogezewa kipaza cha 255 ya XXL ya Clouds FM tatizo la wasanii walio chini ya label yake ya Endles...
Rating :
5