Riyama Ally amekanusha uvumi alokuwa ukisambaa kwamba yeye amefunga ndoa na mpenzi wake Leo Mystereo.
Akizungumza katika kipaza sauti cha 255 ya XXL amekemea tabia ya watu kuwa wanazungumza bila yakuwa na ushahidi wajambo. Akaongeza na kusema kuwa kazi yake inamruhusu kufanya vile (Kupiga picha za harusi) kama watu wangetaka kujua wangesubiri akalizungumza yeye mwenyewe kuliko kuanza kuzusha maneno yasito kuwa na uhakika.
Msikilize hapa akizungumza juu ya jambo hilo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
HUU HAPA UKWELI KUHUSU NDOA YA RIYAMA ALLY NA LEO MYSTERIO (+AUDIO)
Description : Riyama Ally amekanusha uvumi alokuwa ukisambaa kwamba yeye amefunga ndoa na mpenzi wake Leo Mystereo.
Rating :
5