Takriban wiki moja imepita sasa tangu Yamoto Band waachie ngoma yao ambayo wamemshirikisha mshindi wa shindano la Fiesta Super Nyota Diva mwaka 2014 Ruby na nyimbo hiyo kufanya vizuri kwa upande wa Audio muda mfupi toka iachiwe.
Utata ulikuja wakati wakali hao wa Temeke walipotaka kushuti video ya nyimbo hiyo ambayo wamemshirikisha Ruby ndipo walipo mtafuta mwanadada huyo na ikashindikana kwa kile kilicho semwa na management ya Ruby kwamba msanii huyo hit maker wa nyimbo ya Na yule alikuwa na msongo wa mawazo kwa wakati huo.
Alisikika akisema meneja wa kundi la Yamoto Band (Mkubwa Fela) kwamba namewasiliana na Ruby na uongozi wake pia juu ya swala la Ruby kushiriki katika video ya nyimbo ya SU ila imeshindikana kutokana na msanii huyo hakuwa sawa kisaikolojia.
Msikilize hapa Saidi Fela akiongea n 255 yaPerfect Crispin ndani ya XXL kipindi cha majira ya mchana cha Clouds Fm.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
STRES ZIMEMFANYA RUBY ASITOKEE KWENYE VIDEO YA 'SU' -: MKUBWA FELA
Description : Takriban wiki moja imepita sasa tangu Yamoto Band waachie ngoma yao ambayo wamemshirikisha mshindi wa shindano la Fiesta Super Nyota Diva mw...
Rating :
5