Hivi karibuni msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz alifanya Show nnchini marekani katika Jiji la Las Vegas. Msanii huyo ameacha rekodi nchini humo kwa habari zilizo sadikika kwamba zaidi ya mashabiki 500 hawakuweza kuingia ndani ya ukumbi ambao Diamond alikuwa akifanyia Show kutokana na ukumbi huo kujaa sana;
Ayo TV ilifanya interview na Proomoter aliye mwita Diamond kufanya Show hiyo anasema kwamba amesha wahi kufanya na wasanii wengi kama kina Davido. P Square na wengine kibao lakini hakuna hata aliyesogelea alichokifanya Diamond Platnumz. Ni historia aliongeza kwa kufanya hivyo.
Nimeisogeza hapa show nzima aliyoifanya Diamond Platnumz uweze kushuhudia
Title :
(+Videi) TAZAMA SHOW YA DIAMOND ILIVYOVUNJA REKODI LAS VEGAS MAREKANI! HAIJAWAHI TOKEA KWA MUAFRIKA YEYOTE, AWASHINDA DAVIDO & P SQUARE! (FULL SHOW)
Description : Hivi karibuni msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz alifanya Show nnchini marekani katika Jiji la Las Vegas. Msanii huyo ameacha rekodi nc...
Rating :
5