Msanii wa kike wa Bongo fleva Mwasiti amesema Tanzania bado kuna location nyingi sana za kutosha kwahiyo haoni sababu za kumpeleka yeye kwenda kushuti video yake nje.
Akiongeza kwa kusema kwamba kuna video za kumpeleka kushoot nje hata USA kama inatokea atakwenda lakini kwa muziki anaoufanya yeye sasa bado umeegemea sana kinyumbani kwahiyo haoni sababu ya yeye kutoka nje ya mipaka ya Tz.
Ameyaongea hayo kwenye 255 ya XXL kipindi kinachoruka kila siku za wiki Clouds Fm Radio.
Msikilize hapa akizungumza juu ya jambo hilo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
SIJAFIKIRIA KWENDA KUSHUTI VIDEO NJE! LABDA NIKISHAMALIZA LOCATION ZA NDANI -: MWASITI
Description : Msanii wa kike wa Bongo fleva Mwasiti amesema Tanzania bado kuna location nyingi sana za kutosha kwahiyo haoni sababu za kumpeleka yeye kw...
Rating :
5