Hivi karibuni kumekuwa na uvumi kwamba inawezekana Mastaa wawili wa Tanzani ambao walikuwa katika mahusiano na mwahusiano yao kufika mwisho wamekuwa wakiwasiliana. (Wema & Diamond)
Imesemekana kuwa wawili hao wamekuwa wakionekena pamoja hivi karibuni na kupelekea wadau kuhisi kwamba wawili hao wanataka kurudisha mapenzi.
Diamond Platnumz amezungumzia swala hilo ana kuweka wazi pale alipo hojiwa na Soudy Brown wa XXL ya CLouds FM segment ya U_HEARD.
Msikillize hapa.
Title :
(+AUDIO) "SIWEZI KURUDIANA NA WEMA"- DIAMOND
Description : Hivi karibuni kumekuwa na uvumi kwamba inawezekana Mastaa wawili wa Tanzani ambao walikuwa katika mahusiano na mwahusiano yao kufika mwisho ...
Rating :
5