Baada ya kimya cha muda mrefu na matatizo ya hapa na pale ikichangia na kuhusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya ambayo kwa kiasi flani yalimuathiri raper Chidi Benz hatimae leo July 18 anarudi rasmi katika game ya muziki kwa kuachia nyimbo yake mpya ambayo amemshirikisha hit maker wa Natafuta Kiki Raymond (rayvanny) kutoka WCB.
Nyimbo inaitwa Chuma na imefanywa na Producer Leizer wakishirikiana na Mr T-Touch katika Studio za Wasafi Records. Enjoy nayo mtu wangu.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
(+New Audio) Chidi Benz ft Raymond - Chuma (Listen & Download)
Description : Baada ya kimya cha muda mrefu na matatizo ya hapa na pale ikichangia na kuhusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya ambayo kwa kiasi flani...
Rating :
5