WCB Wasafi ni lebo inayofanya vizuri kwa sasa na yenye mafanikio kwa kuwainua wasanii kuwatoa sehemu moja kuwapeleka sehemu nyingine ya kimafanikio.
Ina jumlaya wasanii watano kwa sasa ambao ni Diamond Platnumz ambaye ndio Bosi na mmjoja wa viongozi katika management ya lebo hiyo, Harmonize, Raymond, Rich Mavoko ambae ametambulishwa rasmi wiki tatu zilizopita pamoja na Queen Darleen ambaye ni dada wa Diamond na Diamond aliweka wazi kuhusu yeye wakati akitambulishwa Rich Mavoko.
Leo June 24 Diamond amemtaja mtoto wa Mwanamuziki nguli wa muziki wa Mwambao (Taarab) Khadija Kopa kuwa wako mbioni kukamilisha mkataba wa kumsaini mtoto huyo wa Khadija Kopa kuingia katika Lebo hiyo inayofanya vizuri sana barani Afrika kwa sasa.
|
Khadija Kopa na Mwanae Wakiwa Stejini |
Msikilize hapa Diamond Platnumz akizungumza juu ya msanii huyo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
HUYU HAPA MSANII MWINGINE KUJIUNGA WCB: DIAMOND KATHIBITISHA
Description : WCB Wasafi ni lebo inayofanya vizuri kwa sasa na yenye mafanikio kwa kuwainua wasanii kuwatoa sehemu moja kuwapeleka sehemu nyingine ya ki...
Rating :
5