Diamond Platnumz leo ameweka wazi kuwa kuna nyimbo tayari ameifanya na Fally Ipupa mkali wa muziki kutoka Afrika ya kati aliyeweka makazi huko nchini Ufaransa.
Ilikuwa leo majira ya mchana alipokuwa akiitambulisha nyimbo mpya aliyoshirikishwa na hayati wa muziki wa Zouk Rumba Papa Wemba katika kipindi cha XXL cha Clouds FM.
Msikilize hapa Diamond Platnumz akigusia kuhusu nyimbo yake na Fally na akitambulisha nyimbo yao mpya na marehem Papa Wemba.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
DIAMOND PLATNUMZ AWEKA WAZI KUHUSU COLABO YAKE NA FALLY IPUPA
Description : Diamond Platnumz leo ameweka wazi kuwa kuna nyimbo tayari ameifanya na Fally Ipupa mkali wa muziki kutoka Afrika ya kati aliyeweka makazi hu...
Rating :
5