Msanii wa Bongo Fleva hit maker wa Siwezi
Baraka Da Prince sasa yuko chini ya usimamizi katika lebo ya Rockstar4000 lebo ambayo inamsimamia msanii
Alikiba.
Kuna uvumi unaosema kuwa msanii huyo ameondoka katika uongozi wake wa zamani bila kuwa na mahusiano mazuri na uongozi wake huo na hivyo kupelekea uongozi wake huo wa zamani kuongea na kulalamika kuwa mikataba haijafuatwa katika utaratibu wa msanii huyo kuhamia upande huo wa pili.
Perfect255 ili mvutia waya (kumpigia simu) mmoja wa aliekuwa katika uongozi wa
Baraka Da Prince wa zamani na kuzungumza haya hapa chini.
Kitu kizuri na chenye maana nilicho kipenda kwa meneja huyo ni pale alipo mtakia kila lakheri
Baraka Da Prince katika uongozi wake huo mpya kama yeye mwenyewe ameona kuwa utakuwa na faida na yeye na kumfikisha sehemu ambayo anaitaka,
Rockstar4000 imeamua kubadilisha kila kitu kwa
Baraka Da Prince na imeamua kuanza na jina la msanii huyo ambalpo msanii huyo kwa sasa katika mitandao yake yote ya kijamii hatumii tena jina lililo zoeleka la
Baraka Da Prince na sasa anatumia @barakatheprince_ katika mtandao wa
Innstagram hivo hivo pia katika mtandao wa Twitter na kwingineko.
Kiufupi msanii huyo anatumia jina la Baraka The Prince.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
Alichokisema aliyekuwa meneja wa Baraka Da Prince (@barakatheprince) baada ya msanii huyo kusainiwa na Rockstar4000 (+Audio)
Description : Msanii wa Bongo Fleva hit maker wa Siwezi Baraka Da Prince sasa yuko chini ya usimamizi katika lebo ya Rockstar4000 lebo ambayo inamsimamia...
Rating :
5