Imethibitishwa leo Julai 1 kuwa Zlatan Ibrahimovic raia wa Sweeden ni mchezajihalali wa Manchester United kwa sasa kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Japo kuwa bado hajakabidhiwa namba ya kuvaa mgongoni lakini leo staa huyo mwenye historia nzuri na Ligi za Serie A na French League 1 alikabidhiwa jezi maalum ya Manchester United yenye jina lake na kuthibitisha kuwa mchezaji huyo sasa ni wazi kuwa kambi yake ni Old Trafford.
Itazame hapa video alipokuwa akikabidhiwa jezi hiyo ya Mashetani hao wekundu.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
IBRAHIMOVIC OFFICIAL NI MCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED SASA! (+VIDEO)
Description : Imethibitishwa leo Julai 1 kuwa Zlatan Ibrahimovic raia wa Sweeden ni mchezajihalali wa Manchester United kwa sasa kwa mkataba wa mwaka mm...
Rating :
5